...Leo ni SIKU YA WANAWAKE duniani...ujumbe wangu kwenu Wanawake,
..Tupendane,Tushirikiane in every aspect of life. Hata kama we have been considered to look after our kids and families basi Tusibweteke tuu majumbani,Tujitume,tufanye kazi kwa bidii sio kusubiri kila kitu tufanyiwe na waume zetu...MWANAMKE AKIAMUA ANAWEZA.Tusiwafanye wanaume zetu ATM Machines... ili tuweze kumaintain a good living standard, a family requires a good earning so our Spouses also need to be supported financially and kama tunavyofaham Wanawake ni good Managers of our houses so If we want to manage our houses well, we need to make our brain active by working. In working Places tuna meet na watu wapya kila siku who help us learn about ourselves and the way of dealing with other things.
Ewe mwanamke popote ulipo, keep in ur mind that a well-established career makes you self-assured, and u can take your own decisions and live life of choice…! Love u all….!
WORDS..........UMEONGEA POINT DADA.NIMEIPENDAJEEE
ReplyDeleteWANAWAKE NDIO MAMBO YOTE NDANI YA NYUMBA. TUSILALE LALE,UKIZUBAA MWANAUME/MUME UNAMCHOSHAJE?
ZAWADI MUBA
kweli kuna wanawake wengine ni wa zembe hata wazo la biashara hawana.utakuta mume kazi yake dreva,awe wa daladala awe wa serikalini,lakin mishahara yao midogo na anafamilia kubwa wengi wana watoto 4 na kuendelea.Kama mama watoto umejikalia tuu home unasubiri baba watoto arudi alete chochote mule.wakati una uwezo wa kufungua hata genge.
ReplyDeleteWanawake amkeni bwana.Hakuna tegemezi sikuhizi.