Monday, February 20, 2012

MLO WA VIAZI NA NDIZI(LUNCH)

Ndizi utumbo za nazi
Ndizi samaki

Makande ya karanga

Makande ya nazi

Mseto kwa mchuzi wa nazi wa samaki

Pilau nyama

Pilau samaki

MLO WA UGALI NA MBOGA TOFAUTI(LUNCH)

Dona ulomwagiwa mchicha
Ugali kwa dagaa

Ugali kwa mchuzi

Ugali kwa nyanyachungu za nazi na samaki

Ugali kwa samaki wa kukaanga

Ugali rosti

MLO WA MCHANA (LUNCH)

Wali maharage

Wali spinach

Wali wa maua
Wali pweza

Wali nyama

Wali rosti

Thursday, February 16, 2012

BREAKFAST

Wengine hupendelea zaidi mtori asubuhi,kabla ya kula chochote
Mtori uliosagwa kwa blander

Mtori uliowekwa nyanya juu

Mtori usiosagwa

Mtori uliopondwa kwa mwiko

MLO WA ASUBUHI

Vyakula vinapendelewa kuliwa asubuhi.ambavyo humfanya mtu ashibe na kushindwa kula vizuri mchana.
Vitafunio kwa maharage na samaki

Maandazi kwa kunde za nazi

Chapati kwa maharage yaliyochanganywa na mboga za majani

Mkate na mayai ya macho

Pizza

Mikate ya ufuta

Mikate iliyochovywa na mayai

Chapati za maji

Maandazi ya kuumua

Mkate wa mchele uliokatwakatwa vipande tayari kwa kuliwa na chai au mchuzi au mboga yoyote

Thursday, February 9, 2012

GARI INAKODISHWA

KWA WALE WENYE SHUGHULI AINA YOYOTE IWE,SENDOFF,KITCHEN PARTY, NDOA,RECEPTION,N.K GARI AINA YA NISSAN GROLY.SILVER...FULL AC..IKO KWA AJILI YAKO.
Wasiliana na Mamaz Farida 0759-72 66 77 au 0767-10 20 01.

AINA MBALI MBALI ZA MBOGA

Nyanyachungu
Bilingani
Pilipili hoho
Njegere,nyanya maji,carrots
Matembele
Mchicha na bamia

Wednesday, February 8, 2012

MATAYARISHO YA VYAKULA MBALIMBALI

Dagaa
Ng'onda
Utumbo
Pweza
Samaki
Raha ya Kuku upate fresh
Nyama ya Ng'ombe
Aina mbalimbali za maharage

Mchele wa aina zote

RATIBA YA CHAKULA

Upangaji wa mlo gani wa kula kwa siku husika ni mojawapo wa mambo yanayosumbua sana kila asubuhi unavyoanza siku maana inabidi uhakikishe familia yako inakula mlo kamili na tofauti tofauti. Ni vyema ukawa na utaratibu wa kupanga ratiba ya mlo kwa wiki nzima na kazi hii unaweza kuifanya ijumaa jioni ukiwa umepumzika. Kufanya hivi kutakusaidia kujua ununue nini kwa wakati huo na itakupunguzia kufikiria kila asubuhi kitu cha kupika na itakuwezesha kula vyakula bora na vilivyoandaliwa kwa umakini.

Kwanza orodhesha vyakula mbalimbali ambavyo huwa mnatumia nyumbani kwako katika makundi ya vitafunwa, chakula kikuu na mboga na kisha anza kupanga kwa siku kutokana na upatikanaji wake kwa wiki husika na vile vile muda wa kuviandaa. Mfano wa vitafunwa ni mikate, chapati, mihogo, maandazi, sausage, kiporo n.k, mifano wa chakula kikuu ni ugali, wali, viazi, ndizi, makande n.k na mfano wa mboga ni nyama, samaki, mchicha, kabichi, kisamvu n.k.

Unapopanga ratiba ya wiki pia unaandaa orodha ya vile uavyohitaji kununua kwa ajili ya wiki husika na ndio maana nikasema ukiipanga ijumaa jioni ni vyema ili jumamosi ufanye manunuzi ambayo yanahitajika na mengine madogo unaweza fanya katikati ya wiki. Ratiba hii uiweke mahali panapoonekana jikoni ili wote mnaohusika na kuandaa chakula mfahamu mapema nini kitaandaliwa siku fulani na nini kinahitajika kufanya.

Monday, February 6, 2012

MAMAZ 4 EVER

                                    Mamaz Jacq na Mamaz Zena wakifurahia maendeleo.