Monday, March 19, 2012

AFYA YA UZAZI

Afya ya Uzazi Upangaji familia na Ulezi
Wanawake wengi hujiuliza “Na je, kama nina mimba?” wakati mwingine maishani. Kama unajiuliza kama una mimba una maswali mengine Chunguza Beehive’s pregnancy & parenting kupata ujumbe zaidi kuhusu upangaji familia, jinsi ya kujua kama una mimba na chaguzi ulionazo kama una mimba.Unaweza pia kujua kuhusu fungu lawamu za mimba, umuhimu wa utunzi wa mzazi wa mapema, unachofaa kufanya wakati wa kujifungua na jinsi ya kulea mtoto awe na afya nzuri.

Kumtunza mtoto wako
Ni jambo la busara kujitunza wewe na mwanao. Kutunza mtoto wako linaweza kuwa jambo la kukufurahisha, lakini ni kazi ngumu. Utampatia mtoto chakula/utamlisha mtoto mara ngapi na baada au wakati gani? Wewe hufanya nini mwanao anapolia au anapougua? Unozuiaje maradhia?

Unaweza kuwa mwepesi kushtuka/utakuwa na wasiwasi au lakini utayagundua hayo haraka. Utashtuliwa na ambayo unajua tayari. Katika sehemu hii, utapata kujua unayofaa kufanya utakapomleta mwanao nyumbani

Kumpeleka mwanao nyumbani
Mtoto aliyezaliwa anajiratibisha na ulimwengu ulio tofauti na joto na usalama wa tumbo la mamake. Watoto hawa wanastahili kupendwa,kulishwa, kuwekwa safi na wakiwa na joto inayofaa. Kuna mambo mengi mapya wazazi wanapaswa kujua.

Afya ya mwanao
Unafaa kumwita/kumpigia daktari wako kama utaona uafuatayo kwa mwanao:

Kukosa kula/kukataa chakula
Kuwa na rangi isiyostahili
Nguvu kidogo
Joto la juu ya 380c chini ya kwapa
Ghasia/fujo zisio za kawaida
Kulala zaidi ya kawaida
Kutapika au kuhara
Shida za kupumua

Thursday, March 8, 2012

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

...Leo ni SIKU YA WANAWAKE duniani...ujumbe wangu kwenu Wanawake,
 ..Tupendane,Tushirikiane in every aspect of life. Hata kama we have been considered to look after our kids and families basi Tusibweteke tuu majumbani,Tujitume,tufanye kazi kwa bidii sio kusubiri kila kitu tufanyiwe na waume zetu...MWANAMKE AKIAMUA ANAWEZA.Tusiwafanye wanaume zetu ATM Machines... ili tuweze kumaintain a good living standard, a family requires a good earning so our Spouses also need to be supported financially and kama tunavyofaham Wanawake ni good Managers of our houses so If we want to manage our houses well, we need to make our brain active by working. In working Places tuna meet na watu wapya kila siku who help us learn about ourselves and the way of dealing with other things.
Ewe mwanamke popote ulipo, keep in ur mind that a well-established career makes you self-assured, and u can take your own decisions and live life of choice…! Love u all….!

Tuesday, March 6, 2012

MAMAZ JASIRIAMALI


Baada ya kikao,biashara ziliendelea

Kabla ya kikao Mamaz walipata lunch heavy

MAMAZ WAKIWA KWENYE VIKAO

Mhasibu & Mwenyekiti

Katibu

Katibu akinote down points

Mhasibu msaidizi akitafakari jambo

Mamaz Ghania & Laura

Mamaz Sylivia & Ghania

Mamaz Grace & Katibu

Friday, March 2, 2012

AINA MBALI MBALI YA SUPU.

Soup ya viaz na kuku(Mchemsho)
                                                      Soup ya viazi vya nyama(Mchemsho)
                                                            Soup ya pweza
                                                                Soup ya utumbo



                                                 Soup ya utumbo wa mbuzi na nyama

Thursday, March 1, 2012

MLO WA JIONI

                                Mix(Uroji baada ya kuchanganywa kilakitu,tayari kwa kuliwa
                                    Mix(Urojo) Pembeni sahani ya kachori na badia za kunde
                                                                        
                                                                          Katress
                                                                     Ndizi za kukaanga
                                                              Bagger yenye salad pembeni