Monday, February 20, 2012

MLO WA UGALI NA MBOGA TOFAUTI(LUNCH)

Dona ulomwagiwa mchicha
Ugali kwa dagaa

Ugali kwa mchuzi

Ugali kwa nyanyachungu za nazi na samaki

Ugali kwa samaki wa kukaanga

Ugali rosti

5 comments:

  1. hapa NO COMMENT....lol

    Mama Mimah!

    ReplyDelete
  2. Ugali kuku ndo mlo wangu,sijaona picha ya mvuto hapo Mamaz.

    Annastazia

    ReplyDelete
  3. Safi sanaaa mamaz ila just ushauri mngekuwa mnaweka na jinsi ya kupika wengine hatujui pika vyakula vingine kama vile dagaa, kande za karanga sijui na vingine ni maoni tu

    ReplyDelete
  4. ugali samaki safi sana,
    julius(baba Sam)

    ReplyDelete
  5. ASANTEEEEEE ....nimekubali!!

    ReplyDelete