Wednesday, January 25, 2012

MAAMBUKIZO YA WATOTO

Wazazi tunatakiwa kuwadhibiti watoto wetu hasa waliochini ya umri wa miaka kumi, kutochezea maji machafu ili kuweza kuepuka maradhi ya mripuko hasa kipindupindu,kuhara damu,fangus n.k.




1 comment:

  1. na kweli haya maji mara nyingi asilimia kubwa ni maji yanyotoka vyooni kwani watu wengi kipindi hiki ndio hupata chance ya kufungulia vyemba vyao ili uchafu ubebwe na maji kwa kuogopa gharama ya magari ya maji taka. Au hata kutokana na ujenzi holela wa makazi hakuna sehemu ya kupitisha magari kunyonya huo uchafu,so kipindi cha mvua huwa ni kipindi cha neema kwa wakazi hawa.

    ReplyDelete