Monday, April 2, 2012

MAMAZ NA MAENDELEO

Mamaz wakimsikiliza Mkuu wa nidhamu,Caroline Shilinde
Mamaz Diku, akimsikiliza maoni ya Carolyn Daftari
Mamaz Shamim,akimsikiliza Mwenyekiti kwa makini
Mwenyekiti Rehema Mbaga akiwa makini kusikiliza maoni ya mamaz

2 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. jamani tunaomba mtupe utaratibu wa kujiunga na mamaz group na sisi tunavutiwa na vikundi hivyo maana niliogopa mlipokuwa mnataja ma engeneer, ma akauntant sasa kina sisi inakuwaje?

    ReplyDelete