Monday, November 28, 2011

GET TOGETHER PARTY

MAMAZ,Secreat Admire(Zawadi zilikua za kushindana)
Julieth Mathayo,akifungua zawadi yake

Farida,kufungua kikaratasi chake baada ya kukabidhiwa zawadi yake

Sarah akifungua jina la aliemukota

Teddy,akifungua zawadi yake

Diku Binde,akifungua kikaratasi chenye jina kwa ajil ya kumpatia zawadi yake

Caroline Daftari,akifungua zawadi yake

Catherine na zawadi yake akisubiri kumkabidhi aliemukota jina lake

Margareth kumkabidhi Catherine zawadi yake

No comments:

Post a Comment