Monday, November 21, 2011

MAMAZ KWENYE KIKAO

Mamaz wakiwa kwenye kikao wakizungumzia juu ya maendeleo yao binafsi

Kiongozi wa maendeleo Teddy Nguma na Mhasibu Sarah Machimu


Mkuu wa nidhamu,Caroline Shillinde


Mamaz kuchangishana


Mwenyekiti,Rehema Mbaga akitabasamu.

Mamaz na picha ya pamoja baada ya kikao.

No comments:

Post a Comment