Tuesday, November 15, 2011

VITA ZIDI YA MALARIA

Wakina mama tunalazimika kua makini na Malaria.Mbu mmoja anaweza kuambukiza binaadamu 100.
Hatuna budi kutumia net zenye dawa 

   Tuwalinde watoto wetu na Malaria

                   Mtoto akiwa kwenye furaha ya kuwakwepa mbu wenye maambukizo ya Malaria
                                                      Mama nae akiwa amelala salama

Malaria inapomtesa mtoto

Mbu hatari mwenye maambukizo ya Malaria

1 comment: