Saturday, November 19, 2011

LISHE BORA

Hakuna jambo muhimu na la haraka katika malengo ya maendeleo kama afya ya mama na mtoto.

Matunda ni muhimu sana mwilini

                                                                 




Dagaa lililoungwa na nazi limechanganywa nyanyachungu na bamia

Wali maharagwe na dagaa iliyochanganywa na bamia,nyanyachungu


Ugali na mboga zinazovutia,tayari kwa mlo

Kikombe kilichojaa Unga wa mahindi (Sembe)

No comments:

Post a Comment