Friday, December 23, 2011

JIJI LA DAR ES SALAAM

Siku 3 zilizopita mfululizo,Jiji la Dar es salaam lipatwa na maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizopelekea mafuriko na maporomoko.Baadhi ya vitu na nyumba kuharibiwa vibaya.Eeee Mungu tuepushe na balaa hili katika nchi yetu ambayo ni Maskini.








No comments:

Post a Comment