Thursday, December 29, 2011

HERI YA MWAKA MPYA 2012

Mamaz
Kwa wanawake wote wenye sifa zakuwa kama Mama au kuitwa mama.
Mamaz inawahusia kuwa na tabia za kimama kama muafrika.Uwe mtulivu,mcheshi.mkarimu,mtii,mchapakazi,kuwa na smiling face mbele za watu.

Nyumbani: Kumtii mumeo au mzazi mwenzako kumuweka katika hali ya Upendo na Amani.
                 Kumfanya awe karibu na familia muda wote anapokua free.
                 Kuwafanya watoto wawe huru kuongea au kuwauliza wazazi chochote
                 kwa ajili ya kuwaelimisha zaidi.

Kazini: Kutii viongozi wako,au wafanyakazi wenzako na boss wako.
           Kuwa msikivu, muelewa na mchapa kazi.

Matembezi: Kutembelea wagonjwa, ndugu, jamaa na marafiki kila baada ya muda.
NB:  Kucheck afya zetu ni muhimu kila baada ya muda.

MAMAZ KWA UJUMLA TUBARIKIWE.
AMEEN.

5 comments:

  1. Asanteni mamaz.yani nimewapenda kweli.hilo ndio grupu la kujiunga kwakweli.mana magrupu mengine ni ya kishangingi shangingi tu.hawana mbele wala nyuma.kama nataka kujiunga na grupu lenu nafanyaje jamani.nimewaona kwa shamim pia.mkojuu kwa kweli.

    Anastazia

    ReplyDelete
  2. Asante mamaz.tubarikiwe wote kwakweli.

    Mama Lina kigoda

    ReplyDelete
  3. Ameen Inshallah!
    HAPPY NEW YEAR 2012

    Mama Mimah!

    ReplyDelete
  4. Kheri ya mwaka mpya mamaz, nimewamiss kweli

    ReplyDelete
  5. Ameen! Kheri ya mwaka mpya kwa kila anayeitwa mama

    ReplyDelete